Msanii wa kizazi kipya ally abdul a.k.a ally mapoz ajiandaa kufanya video ya wimbo wake mpya unaoitwa sina papara. ambao umefanyika pale young don record pande za kinondoni B.CHINI YA PRODUCER Promise.(tefladon) wimbo huo wenye mahadhi ya BONGO FLAVOUR SPEED.Ambayo video yake itashutiwa na kampuni ambao wanafanya vizuri.hapa mjini EXPERIENCE PICTUREz Chini ya director Bancell Otieno.so mafans wa ally mapozi kaeni tayari kupokea mzigo toka Kwa Asali Chachu ALLY MAPOZ
wow very newZ.........JITIHADA NDO MUHIMU MDOGO WANGU MAPOZ
ReplyDeletemdogo mdogo ndio mwendo utafika 2 chamcngi kukaza mdogo wang @ ASALI
ReplyDelete